News and Events Change View → Listing

MAZUNGUMZO YA MHESHIMIWA BALOZI NA KAMPUNI YA KUSAFIRISHA WATALII YA GOLDEN MOMENT

Mnamo tarehe 08 Februari, 2022, Mheshimiwa  Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya “Golden Moment” ya Algeria ambayo inafanya Kazi Kusafirisha Watalii kutembelea…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SAIDAL KIWANDA CHA UZALISHAJI WA CHANJO YA UVIKO - 19 NCHINI ALGERIA

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa  SAIDAL, Bibi Fatoum Akacem. SAIDAL ni Kiwanda cha Serikali cha Uzalishaji wa Dawa za Binadamu pamoja na Chanjo ya…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MJINI ALGIERS

Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alishiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji Algiers lililoandaliwa na Kituo cha Maendeleo ya Uwekezaji cha Waarabu wa Afrika.Kongamano hilo lilijumuisha Wadau Masuala…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA MKURUGENZI MKUU MPYA WA SONELGAZ

Mnamo tarehe 18 Januari, Mheshimiwa Balozi alikutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Shirika la Gesi na Umeme la Algeria SONELGAZ, Bw.  Mourad Adjal. Katika Mkutano huo, Viongozi wote…

Read More

KIKAO CHA MHE WAZIRI WA NISHATI NA KAMPUNI YA SONELGAZ

Mheshimiwa Waziri Akipata Maelezo kutoka kwa Wenyeji wake kuhusu SONELGAZ  inavyofanya kazi katika Uzalishaji na Usambazaji wa Umeme baada ya Kusikiliza Wasilisho la Shirika hilo.

Read More

Ziara ya Kikazi ya Mhe Waziri wa Nishati wa Tanzania nchini Algeria

Mheshimiwa Waziriwa Nishati January Yussuf Makamba (Mb) Akisalimiana na Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Fedha wa Algeria katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Algiers Tarehe 28 Oktoba, 2021Mheshimiwa Wazirina…

Read More

TIC RECORDS 235 NEW PROJECTS IN 2021

Tanzania Investment Center (TIC), has registered a total of 235 projects during the current fiscal year, up from 219 projects registered in the correspondent period last year. Director of Information Services…

Read More

TRAVEL ADVISORY NO.8 OF 13TH SEPTEMBER, 2021

The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global epidemiological situation and emergence of new…

Read More