Mheshimiwa Balozi, Maj Gen. Jacob G. Kingu amekutana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Shirika la SONELGAZ linaloshughulika na Nishati kwa Upande wa Gesi na Umeme Bwana Chahar BOULAKHRAS.

Viongozi hao wamezungumzia juu ya Kubadilishana Uzoefu na Kuanzisha Mashirikiano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Maeneo ya Mafunzo, Tafiti, Usambazaji Umeme na Gesi, Vifaa na Ukarabati kwa Maslahi ya pande zote mbili. 

Algiers: 05 Januari, 2021