Mheshimiwa Waziriwa Nishati January Yussuf Makamba (Mb) Akisalimiana na Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Fedha wa Algeria katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Algiers Tarehe 28 Oktoba, 2021
Mheshimiwa Wazirina Ujumbe wake, walipowasili Nchini AlgeriaTarehe 27 Oktoba, 2021 kwa Ziara ya Kikazi, na kupokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Dawati la Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Diaspora Ughaibuni, Balozi Saad Mandi aliyekuwa amefuatana na Mkurugenzi wa Mashirikiano ya Nje kutoka Wizara ya Nishati. Kulia ni Mheshimiwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria, Meja Jenerali Jacob G. Kingu .
Mheshimi wa Waziri na Ujumbe wake, wakiwa katika Kikao Kazi na Waziri wa Nishati wa Algeria, Mheshimiwa Mohamed Arkab Aliyekuwa Amefuatana na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Nishati kutoka Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watuwa Algeria, Kilichofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2021