Kikao cha Mhe Balozi na wanafunzi wa Tanzania mkoa wa Annaba, Algeria
Mhe Balozi Gen Kingu akiwa katika Kikao na Picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vilivyoko Mkoa wa Annaba, Algeria mnamo tarehe 27.09.2020.
Read More






