News and Events Change View → Listing

ZIARA YA MHE. KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) DKT. ASHA ROSE MIGIRO NCHINI ALGERIA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro alifanya ziara ya kikazi nchini Algeria kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 10 Aprili 2026. Ziara hiyo ililenga kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan,…

Read More

MHE. BALOZI IMAN S. NJALIKAI NA MKURUGENZI MKUU WA AFRIKA KUJADILI MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 6 WA TUME YA PAMOJA USHIRIKIANO

Tarehe 24 February 2026, Mhe. Iman Njalikai, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, alikutana na kufanya mazungumzo na, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria,…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ALGERIA AANGAZIA FURSA ZA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI NCHINI ALGERIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai ametembelea Chuo Kikuu cha Ouargla na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo Prof, Halilat Med Tahar pamoja na uongozi wa Chuo hicho…

Read More

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA MBOLEA YA SORFERT

Februari 4, 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Mbolea ya Sorfert, Bw. Maged El Tobgy makao makuu ya…

Read More

BALOZI NJALIKAI ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA 7 YA KIMATAIFA YA KAHAWA NA CHOCOLATE

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai ameshiriki katika sherehe za uzinduzi wa Maonesho ya Saba (7) ya Kimataifa ya Chocolate na Kahawa (CHOCAF) yaliyofanyika jijini Oran…

Read More

MHE BALOZI IMAN S. NJALIKAI AMEMTEMBELEA BALOZI WA KWANZA WA ALGERIA NCHINI TANZANIA

Tarehe 3 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai alimtembelea Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kimataifa ya Marafiki wa Mapinduzi ya Algeria, Mzee Noureddine Djoudi…

Read More