News and Resources Change View → Listing

UBALOZI WAKUTANA NA WAWEKEZAJI NA WAKANDARASI WA ALGERIA KATIKA MAONESHO YA UJENZI NA VIFAA YA BATIMEX MKOANI ANNABA

Ubalozi ukifanya Wasilisho la Fursa za Uwekezaji nchini Tanzania kwenye Kikao cha B2B na Wawekezaji na Wakandarasi wa Ujenzi. Pichani kulia mwa Mhe. Balozi ni Waziri wa Biashara Mstaafu wa Algeria, Mhe. Said…

Read More

MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA DAWA YA HIKMA

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Kingu alifanya Mazungumzo na Meneja wa Maendeleo ya Biashara  wa Afrika  Kaskazini kutoka Kampuni ya HIKMA, Bibi Sihem SAADA alipomtembelea Ubalozini Jijini Algiers…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI MEJA JENERALI (Mst) Jacob Kingu akutana na Balozi wa Nigeria Nchini Algeria

Mhe. Balozi Mej. Jen (Mst) Jacob Kingu katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Aysha Garba wa Nigeria nchini Algeria alipokutana Ubalozini kwao na Kufanya Mazungumzo na Kubadilishana Uzoefu katika Diplomasia…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NA AMIDI WA MABALOZI WA AFRIKA WALIOKO ALGIERS

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Kingu akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Dkt. Panduleni Shingenge wa Namibia na Amidi wa Mabalozi wa Afrika walioko Algiers, walipokutana Ubalozini kwao kwa Mazungumzo ya…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI ALGERIA

Mhe Balozi Mej. Jen (Mst) Jacob Kingu akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Balozi Assegid wa Ethiopia nchini Algeria alipomtembelea na kufanya Mazungumzo ya Mashirikiano katika Ofisi za Ubalozi wao jijini…

Read More

WAFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA WATAFUTA FURSA ZA MASHIRIKIANO YA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI ALGERIA

Ubalozi ulipokea Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kitanzania kutoka Kampuni ya ATN Petroleum ya Tanzania Bw. Abdelatif T. Nahdi na Bw. Mohammed Khelef Mohammed Shein ambao walifika Ubalozini kwa ajili ya…

Read More