News and Resources Change View → Listing

WAHITIMU WA KITANZANIA WA SHAHADA YA KWANZA YA UDAKTARI WATUNIKIWA VYETI KATIKA CHUO KIKUU CHA ALGIERS - 1

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliungana na  Wazazi katika Mahafali ya Wahitimu wa Shahada ya kwanza ya Udaktari iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa CIC jijini Algiers…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA RAIS WA TFF

Mheshimiwa Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) Bw. Wallace J. Karia katika Ofisi za Ubalozi Jijini Algiers. Bw. Wallace alikuwepo…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA MKUU WA IDARA YA USAFIRISHAJI DAWA WA KAMPUNI YA SAIDAL Dr.  LYDIA AZEM

Mhe. Balozi alikutana na Mkuu wa Idara ya Usafirishaji wa Dawa wa Kampuni ya Serikali ya SAIDAL, Dr. Lydia Azem ambaye alifika Ubalozini. Bi. Lydia alimueleza Mhe. Balozi kuwa mbali na Uzalishaji wa Chanjo,…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA RAIS WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WAKIAFRIKA NCHINI ALGERIA DR. MOUSSA SISSOKO

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alifanya Mazungumzo na Dr. Moussa Sissoko, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa  Afrika  waliopo nchini Algeria  (CARREFOUR CADENKOSO) katika Ofisi za…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI AKUTANA NA PROF TAHER SAHROUI MKURUGENZI WA MASHIRIKIANO NA MAHUSIANO YA VYUO VIKUU KUTOKA WIZARA YA ELIMU YA JUU NA TAFITI ZA SAYANSI NCHINI ALGERIA

Mhe. Balozi Mej Jen. (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa Mashirikiano na  Mahusiano ya Vyuo VIKUU (Director of Cooperation and Universty Exchanges) wa Wizara ya Elimu…

Read More

BAADHI YA WANAFUNZI WA TANZANIA WALIOHITIMU KATIKA FANI ZA AFYA 2022

Wahitimu hao wa fani za Afya  (udaktari, ufamasia na udaktari wa wanyama) walifika Ubalozini kwa ajili ya Kuaga rasmi. Aidha wameushukuru Ubalozi kwa Ushirikiano wa karibu na kwa Kutatua changamoto zao…

Read More

MKUTANO WA MHESHIMIWA BALOZI NA WAZIRI WA UTALII NA SANAA WA ALGERIA

Mhe. Balozi Mej Jen (Mst) Jacob Gideon Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Utalii na Sanaa wa Algeria Mhe. Yacine Hamad katika Ofisi za Wizara ya Utalii na Sanaa Jijini Algiers. Kupitia Kikao…

Read More

UBALOZI WATEMBELEA WANAFUNZI NA WANADIASPORA WALIOPO KATIKA MKOA WA GHARDAIA

Timu ya Ubalozi iliwatembelea  Wanadiaspora na Wanafunzi wanaosomo katika Taasisi mbali katika Mkoa wa Ghardaia. Ziara hiyo ni katika Utekelezaji wa Mpango wa Ubalozi wa kuwahakiki na Kuwatambua…

Read More