OFFRES D’EMPLOIS
Read More
Mheshimiwa Balozi akiwa katika picha ya pamoja na CEO wa Groupe la Belle katika makao makuu ya La belle.Tarehe 09 Juni 2022.La belle ni wawekezaji katika sekta uchakataji wa Bidhaa za kilimo ( nafaka, matunda…
Read MoreMheshimiwa Balozi akitembelea Hospitali ya Chahid Mahmoudi katika mkoa wa Tiziouzou. Tarehe 14 Juni, 2022.
Read MoreMheshimiwa Balozi alipotembelea Kampuni ya Amenhyd inayoshughulika na utengenezaji wa Mitambo ya Kusafisha Maji Taka katika Maonesho ya Utunzaji wa Mazingira mjini Algiers. Tarehe 20 Juni, 2022
Read MorePicha ya pamoja ya Mheshimiwa Balozi akiwa na Mheshimiwa Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Dr. ASHATU KIJAJI pamoja na Delegation ya Wafanyabiashara kutoka Algeria katika viwanja vya…
Read MoreMnamo tarehe 08 Februari, 2022, Mheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya “Golden Moment” ya Algeria ambayo inafanya Kazi Kusafirisha Watalii kutembelea…
Read MoreMheshimiwa Balozi Maj Gen. Kingu alikutana na Kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa SAIDAL, Bibi Fatoum Akacem. SAIDAL ni Kiwanda cha Serikali cha Uzalishaji wa Dawa za Binadamu pamoja na Chanjo ya…
Read More