News and Resources Change View → Listing

Mhe. Balozi Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Maj. Jen. Ibuge, Mkuu wa Chuo cha NDC

Leo tarehe 21 Aprili 2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Maj. Jen. Ibuge, Mkuu wa Chuo cha NDC katika Ofisi za Ubalozi jijini Algiers.Mhe. Balozi Maj Jen. Ibuge yupo…

Read More

ALGERIA KUSHIRIKI MAONESHO YA DITF 49 YA SABABA NCHINI TANZANIA

Leo tarehe 9 Aprili 2025, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai amefanya mazungumzo na Bw. Soufian Mwakilishi wa Taasisi ya Serikali ya Kuandaa Maonesho na Kuhamasisha…

Read More

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NIGER NCHINI ALGERIA

Tarehe 08 Aprili 2025, Mhe. Iman Njalikai, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Algeria amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Aminou Malam Manzo, Balozi wa Jamhuri ya Niger nchini Algeria katika…

Read More

RAIS MSTAAFU KIKWETE AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA NCHINI ALGERIA

Tarehe 25 Machi 2025, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na ujumbe wake aliwasili nchini Algeria kwa lengo la kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Mhe. Dkt.…

Read More

TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA AFYA

Tarehe 17 Machi 2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Abdelhaki Saihi, Waziri wa Afya wa Algeria katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Algiers. Mhe. Balozi alitumia fursa hiyo…

Read More

MHE. BALOZI NJALIKAI AWAPOKEA MABALOZI WA NCHI ZA SADC

Leo tarehe 6 Machi 2025, Mhe. Balozi Njalikai amewapokea Mabalozi wa nchi za SADC katika ofisi za Ubalozi kwa ajili ya Kikao cha kawaida cha Umoja wa Mabalozi wa Nchi za SADC.Kikao hicho ni sehemu ya…

Read More

CHUO KIKUU CHA UDSM KUSHIRIKIANA NA VYUO VIKUU VYA ALGIERS 2 NA 3 VYA ALGERIA

Balozi Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam chini ya Prof. Nelson Boniface, Naibu Makamu wa Chuo anayeshughulikia tafiti.Mazungumzo hayo yaliyofanyika leo tarehe…

Read More

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA MAURITANIA KIUCHUMI

Leo tarehe 10 Januari 2025, Mhe. Balozi Iman Salum Njalikai amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Ulaya, Mhe. Mohammad Amine Mohamade Bachir na Mkurugenzi Msaidizi wa Afrika, Mhe. Mohamad Youcef kutoka…

Read More