Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jordan nchini Algeria, Mhe. Ahed Sweidat, mara baada ya kumalizika sherehe za Siku ya Taifa la Jordan, jijini Algiers, mnamo tarehe 11 Juni, 2026.