TANZANIA NA ALGERIA KUENDELEZA USHIRIKIANO WA NISHATI YA UMEME

Tarehe 24 Septemba 2025, Mhe. Iman Njalikai, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria alifanya mazungumzo na Bw. Djilani Kobibi Bachir, Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Viwanda vya Uzalishaji wa…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI ATEMBELEA VIWANDA VYA KARATASI VYA KAMPUNI YA HILAL

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ageria Mhe. Iman Salum Njalikai alitembelea viwanda vya karatasi na madaftari vya kampuni ya Hilal vilivyopo jijini Algiers tarehe 22 Septemba 2025.Ziara hiyo…

Read More

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA ALGERIA KATIKA UZALISHAJI WA DAWA BIDHAA NYINGINE ZA AFYA

Kupitia ushiriki wa Ujumbe wa Tanzania kwenye maonesho ya IATF2025 yanayoendelea nchini Algeria, Mhe. Balozi Iman Njalikai alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe. Wassim Kouidri, Waziri wa Viwanda vya Dawa…

Read More

PURA KUTAFUTA FURSA ZA USHIRIKIANO NA SONATRACH

Katika muendelezo wa ushiriki wa Tanzania kwenye IATF2025, Mhe. Balozi Iman Njalikai pamoja na Ujumbe wa PURA walipata nafasi ya kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mafuta la Serikali (Sonatrach) Bw…

Read More

MHESHIMWA BALOZI  NJALIKAI AONGOZA UJUMBE WA WIZARA YA AFYA KATIKA KIWANDA CHA DAWA CHA BIOPHARM JIJINI ALGIERS*

Tarehe 7 Septemba 2025, Balozi wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai aliambatana na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dkt. Adam Fimbo kutembelea kiwanda cha Dawa za Binadamu na Vifaa Tiba…

Read More

DKT. SERERA, AZUNGUMZA NA UJUMBE WA TANZANIA WA IATF2025 JIJINI ALGIERS

Dkt. Suleiman Serera, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 6 Septemba 2025 alifanya mazungumzo na ujumbe wa Tanzania unaoshiriki kwenye Maonesho ya…

Read More

TPDC KUENDELEZA USHIRIKIANO WA NISHATI NA ALGERIA

Tarehe 24 Agosti 2025, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai amepokea na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta Tanzania (TPDC) katika ofisi za…

Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA SADC JIJINI ALGIERS

Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria Mhe. Iman Njalikai ameungana Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) katika kuadhimisha siku ya Jumuiya…

Read More