MHE. BALOZI AKUTANA NA KATIBU WA SHIRIKISHO LA TAIFA LA WAMILIKI HOTELI MKOANI CONSTANTINE ALGERIA
Katika ziara yake Mheshimiwa Balozi Mej. Gen Jacob Gideon Kingu, Mkoani Constantine amekutana na Katibu wa Shirikisho la Taifa la Wamiliki wa Hoteli Bwana Abdelouhab Boulfekhad ambae pia ni Mmiliki wa…
Read More






